Tap to unmute
Wakati unafunga mwili wako hua unaingia katika uzaifu fulani. Na ni katika uzaifu huo mulango waneema hua unafunguka. That is called the paradox of fasting. Because fasting is a paradox. It's a mystery. Ni kitu hawezi kuelezea. Maana utaeleza na mnagani ya kwamba yesu alieda 40 nights and 40 days haja kula kitu akoncha alafu mbibiria inasema ya kwamba alipokuwa anatoka maombi huko jangwani he was hungry. That is Verse 1 Luke chapter 4. Akatoka from that desert of prayer full of power. Hallelujah.